Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kuwajulisha  wanafunzi wote waliohitimu  vyuo vya afya nchini mwezi Machi 2012, kufika Wizarani ili waweze kuchukua barua za kupangiwa vituo vya kazi kabla ya tarehe 30 June,2012.

Pia waombaji wengine waangalie majina yao kwenye website ya Wizara www.moh.go.tz 

 

Imetolewa na:

 

Regina L. Kikuli

Kaimu Katibu Mkuu

21/06/2012

 

You are here: Home News TANGAZO KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU VYUO VYA AFYA MACHI , 2012

Health Services

Design template For Health related services and facilities in Tanzania.

Documentation

For Ministerial related documents Click Here..

Tenders

 Joomlart Forum Click here....